hivi karibuni tuko mbioni kuandaa mkutano wa mafundi rangi wa mkoa wa Dar es salaam siku na mahali tutawajulisha.
Tutaomba fundi anayetaka kushiriki mafunzo hayo ya upakaji sahihi wa aina mbalimbali za rangi wajiandikishe mapema ili kupata idadi ya watakaoshiriki tukilinganisha na eneo.
Sasa turudi darasani kidogo!!!!
Ni upi uchaguzi sahihi wa rangi?
Swali hili nalielekeza kwa mwalimu
Fuatana naye ili ujue ni upi uchaguzi sahihi wa rangi.
![]() |
| Hii ni moja ya sehemu unayoyoweza kuchagua rangi |
![]() |
| sehemu ya uchaguzi wa rangi chumbani |







