Kitu
chochote kile kikipakwa sehemu kikashika na kufunika kitaitwa rangi. na ili
hili litokee rangi imetengenezwa na gundi, kiasili cha rangi, kimiminika na
kiambatanishi.
Tunapaka
rangi kwa lengo kubwa moja, kulinda vifaa vya ujenzi vilivyo tumika kujenga
majengo. Vifaa hivi vimegawanyika makundi matatatu. mbao, metali na zege.
vifaa hivi
huathiriwa na mambo ya mazingira kama joto, baridi, kemikali, vimelea na maji
maji.
Ziko njia
nyingi za kuhifadhi vifaa hivi, njia bora na rahisi ni kuvipaka rangi.
