CHAGUO NI LAKO
Usemi huu unadhihirika hivi sasa katika fani ya ujenzi hapa nchini,Kumekuwa na jinsi nyingi za kuweka ceiling board hivi sasa.Hii inatokana na teknologia kwa upande huo kupanuka na mafundi kujifunza vitu vipya.
Pichani ni baadhi ya picha za ceiling board
Kama Unahitaji fundi kwa ajili ya kubadilisha muonekano wa Sebule au Chumba chako
No comments:
Post a Comment