Katika kitu chochote kile ambacho unataka kukifanya kwa ufanisi zaidi lazima ujifunze juu ya kitu hicho,
Leo tumekutana na mafundi rangi ambao walikuwa wakijifunza juu ya upakaji wa rang mpya iliyoingia sokoni kwa sasa,
Rangi hiyo Mpya inaitwa Coral the Art inayoyengenezwa na kiwanda cha kutengeneza rangi nchini cha
Insignia Ltd.
Pichani ni mafundi waliokuwa kwenye mafunzo hayo ya vitendo ya siku 3
 |
Hii ndio bidhaa mpya ya Rang kutoka kwa kampuni ya Insignia Ltd
|
 |
| Fundi akipaka Base cort |
 |
| Mwalimu akimuelekeza Fundi jinsi ya upakaji Sahihi |
 |
| Mwalimu akiangalia kazi iliyofanywa na moja ya fundi |
 |
| Mwalimu akitoa maelekzo kwa mafundi na wao wako makini kumsikiliza |
 |
| Mafunzo yanaendelea |
 |
Fundi akimalizia kupaka Top Cort
ONA MATOKEO YA CORAL THE ART
|