| Matayarisho kabla ya mafunzo kuanza |
| Fundi akichanganya rangi kabla ya kuanza kupaka ili kuhakikisha kuwa rangi imechanganyika vizuri |
| Vifaa vinavyotumika ni pasi ya chuma na scraper |
| Mwalimu akisisitiza jambo katika utumiaji wa pasi |
| Mwl.Mpoki akielezea mafundi juu ya rangi hizo |
kwa mahitaji ya rangi hizi wasiliana nasi kwa namba 0719083700