Mungu ametupendelea Tanzania kuwa na mazingira na mandhari nzuri za kupendeza karibu katika kila mkoa wa Tanzania Bara na Visiwani.
Uzuri huo ambao Mungu ametujaalia tunaweza kuwa nao karibu kabisa katika mazingira tunayoishi na sisi tukawa ni sehemu ya uzuri huo
| Picha hii inaonyesha sehemu ya mlima Kilimanjaro ni sehemu ya uzuri wa tanzania. |